Skip to content
Quotes App Icon

Quotes App

HomeRandomSearchCreate New
2026 © Serhii Lisovyk

Search Quotes

"Amri ya Kristo ilipima imani ya yule kipofu, ikiithibitisha na kuiimarisha. Bila kuchelewa au kusita, kipofu alitii amri ya Mungu: Alikwenda kuosha macho yake katika bwawa la Siloamu na aliona. Wengi ..."

- Enock Maregesi

faithblindimani

"Secure tomorrow today by sowing good seeds today and by watering them with faith and love to others."

- Enock Maregesi

lovefaithtomorrowtodayseedsothersgood-seeds

"Vita ya Shetani na Mungu inatuathiri zaidi sisi wanadamu – na hapo baadaye itamuathiri Shetani pia. Vita hii haiwezi kuisha hadi siku ya mwisho, Yesu Kristo atakaporudi kuwachukua wateule wake. Pamban..."

- Enock Maregesi

friendlovefaithgodenemyfightpridehumanspeacepoverty...

"Pambana na Shetani kwa upanga wa imani ambao ni ukweli kwani ukweli ndiyo utakaokuweka huru."

- Enock Maregesi

faithfighttruthfreeswordsatanimanishetani

"Kumwamini Mwenyezi Mungu wakati wa raha ni rahisi kuliko kumwamini Mwenyezi Mungu wakati wa shida, na utahitaji imani kuendelea kumwamini wakati wa dhiki. Vipindi vigumu katika maisha yetu hutokea kwa..."

- Enock Maregesi

lifefaithgodpowergraceabilitycomfort-zonedifficultyproblemskey...

"Kuna nguzo saba ambazo hazina budi kuzingatiwa kama unataka kuheshimiwa na kuwaheshimu wengine. Kwanza kabisa jitambue: wewe ni nani na unafanya nini hapa duniani. Halafu, kabla ya kusema jambo lolote..."

- Enock Maregesi

faithhumanityrespecthumansocietyiculturesleaderunitywe...

"Kilio kikuu cha Yesu, “Eloi, Eloi, lama sabakthani?”, yaani, “Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?”, na “Imekwisha”, vilitabiriwa katika Zaburi 22 ili watu waliompinga Kristo waamini kama Yesu a..."

- Enock Maregesi

faithchristianitychristsongjesuscrossmessiahgolgothaimaniking-david...

"Katika dunia ya leo ambapo mamilioni ya watu hutegemea utandawazi kupata pesa, kuwa na imani kwamba kupokea pesa kutoka kwa mtu usiyemjua au mtu mwenye nia mbaya na wewe ni kikwazo kikubwa cha maendel..."

- Enock Maregesi

lifefaithgodworldmoneydevelopmentsatanparadisemungutithe...

"Be nice to the environment. Be nice to animals. Be nice to people. If you do that, you will leave a mark on the world."

- Enock Maregesi

animalskindnessworldpeoplenicekindenvironmentmarkbe-nice

"If a leader for the right reasons is blessed by God, even the people he leads will be blessed by God as well. But if the leader is cursed by God because of iniquity, even the people he leads will be c..."

- Enock Maregesi

peopleleaderiniquity
Prev1234Next